Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miti Ya matunda ni uwekezaji mzuri zaidi mbao..Miparachichi,milimao,mipapai,miembe,migomba,michungwa,nk.. Kutegemeana na sehemu,,,,lkn ni vyema kushirikiana na wadau hasa wazoefu.Habari, naomba ufafanuzi kidogo kwa mwenyewe uelewa juu ya uwekezaji Bora wa kupanda na kuuza miti KWA AJILI ya mbao. Juu ya aina Gani ya mititi inasoko na faida nzuri na hauchukui muda mrefu sana kukua na kuvunwa.
Nawasilisha mjadala shukran.