Habari, naomba ufafanuzi kidogo kwa mwenyewe uelewa juu ya uwekezaji Bora wa kupanda na kuuza miti KWA AJILI ya mbao. Juu ya aina Gani ya mititi inasoko na faida nzuri na hauchukui muda mrefu sana kukua na kuvunwa.

Miti Ya matunda ni uwekezaji mzuri zaidi mbao..Miparachichi,milimao,mipapai,miembe,migomba,michungwa,nk.. Kutegemeana na sehemu,,,,lkn ni vyema kushirikiana na wadau hasa wazoefu.