Naomba ufafanuzi kakika kesi ya madai

Naomba ufafanuzi kakika kesi ya madai

lwa kalolo

Senior Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
173
Reaction score
94
Naombeni ufafanuzi kwamba sheria inasemaje kuhusu kutohudhulia mahakamani siku ya kesi bila kutoa taharifa ikiwa wewe ni mshtakiwa katika kesi ya madai
 
Ni kosa kisheria kwa mtuhumiwa kutofika mahakamani bila sababu na bila taarifa, kama mshtakiwa amepata tatizo linalo sababisha kutofika anatakiwa kutoa kulta taarifa siku ya kesi, either kwa kutuma mtu wa karibu au kwa kutumia mwanasheria wake. kama itaonekana kuwa hakufika bila sababu za msingi , mahakama inaweza kuahirisha akesi kwa garama ya mshitakiwa, pia kama ataendelea kutofika kesi huamriwa kwa kusikiliza upande mmmoja( exparte judgement)
 
Nashukuru kwa ufafanuzi, lakini je kutoudhullia na ikiwa wewe ndo mshitakiwa mahakama inaweza toa kibari utafutwe siku hiyohiyo?
 
Nashukuru kwa ufafanuzi, lakini je kutoudhullia na ikiwa wewe ndo mshitakiwa mahakama inaweza toa kibari utafutwe siku hiyohiyo?
Mkuu inategea na hakimu,ila mara nyingi order ya kurudishwa mahabusu uwa inatolewa hapo hapo...!!
 
Naombeni ufafanuzi juu ya nini cha kufanya endapo mshitakiwa
Amekaa maabusu kwa muda wa wiki moja mlalamikaji hajafika hapo mahakamani?
Na je kisheria inakuaje swala likiwa hivyo?
 
Back
Top Bottom