Raia Mtata
JF-Expert Member
- Feb 4, 2017
- 316
- 612
Mwezi lakini kuna kitu nilijifunza. Mara nyingi vifaranga hufa kwa kujinyonga nyonga shingo hadi kufa. Kama hufa kwa shida hiyo badilisha uzazi. Yaani mfano bata waliototolewa litoe dume na libadili weka dume lingine kabisa lisilozaliwa kwenye uzao huo utaona matokeo hiyo shida haitakuwepoHabari zenu humu ndani.
Kutokana na changamoto za ufugaji wa hawa bata wadogo na matokeo ya vifo vya mara kwa mara, kuna kitu nahitaji kufahamu.
Je ni muda gani ambao hawa vifaranga wa bata watakuwa wamekomaa na kupona kwenye umauti? Wiki 2 au 3 au mwezi au miezi miwili baada ya kuzaliwa?
Huwa na muhimu kwasababu huwa ni moja ya tabia yake ya kupunguza joto kupitia kuoga kwenye maji pia hata kama kuna wadudu baadhi mwilini huwatoa kupitia njia hiyo. Cha muhimu ni kumbadilishia maji kila siku na kumuwekea maji safi.Hivi nikifuga bata wa kawaida lazima niwatengenezee sehemu yao ya kucheza maji?maana huwa naina huku mtaani bata wanapenda sana kucheza kwenye maji
SawaHuwa na muhimu kwasababu huwa ni moja ya tabia yake ya kupunguza joto kupitia kuoga kwenye maji pia hata kama kuna wadudu baadhi mwilini huwatoa kupitia njia hiyo. Cha muhimu ni kumbadilishia maji kila siku na kumuwekea maji safi.
Well said. Vifaranga vya bata vilelewe kwa kupewa chick starter (hasa broiler starter) kwa mwezi mmoja au miwili. Kuna jirani yangu yeye huwachanganya na vifaranga wa kuku (japo anakosea) tangu day one wanaanguliwa na wanakua wote. Kipe wanachokula wale kuku ndiyo na bata wanakula pia. Pia huwapa huduma zingine sanjari na vifaranga wa kuku. Mf. Vitamin, etcDhana ya kwamba vifaranga wa Bata lazima wafe sio ya kweli, walishe vifaranga wa Bata chakula cha vifaranga(starter).Kwenye maji yao ya kunywa wawekee dawa za malt vitamin zinauzwa kwenye maduka ya mifugo.Achana na habari za kuwanyonga shingo unawaumiza bure kinachowauwa viranga wa bata ni ukosefu wa madini na vitamini