Inategemea kwenye gari unahitaji nini, mbio au kuvuta mizigo. Kwa matumizi ya kawaida horsepower iwe kubwa kuliko torque.
Ila kama gari yako inavuta trailers etc torque kubwa muhimu.
Kwa mifano yako hapo juu namba 1 itakuwa na mbio na namba 2 itakuwa na uwezo wa kupiga kazi(kuvuta trailer,kubeba mizigo,milima etc).
Okay. Naongelea gari ya kawaida ya maisha ya kila siku hasa hizi SUVs.Inategemea kwenye gari unahitaji nini, mbio au kuvuta mizigo. Kwa matumizi ya kawaida horsepower iwe kubwa kuliko torque.
Ila kama gari yako inavuta trailers etc torque kubwa muhimu. Kwa mifano yako hapo juu namba 1 itakuwa na mbio na namba 2 itakuwa na uwezo wa kupiga kazi(kuvuta trailer,kubeba mizigo,milima etc).
Kwa mfano mtu anataka kununua gari lenye varieties mbili tofauti kwenye hizo scenario tofauti. Utamshauri achukue ipi ya diesel au petrol?Mkuu, kwa maelezo rahisi, gari lenye horsepower kubwa, linauwezo wa kuwa na top speed kubwa kuliko gari lenye horsepower ndogo. Gari lenye torque kubwa lina uwezo wa kuchanganya haraka kufikia top speed kubwa kuliko gari lenye torque ndogo.
Sasa hapo kwenye combination ya horspower na torque inategemea saana na mahitaji ya mtumiaji. Kwa mfano wako, kwa matumizi ya kila siku, nitachukua Scenario 1: Una gari ya Petrol ina 400HP na 300 lb/ft Torque...
Ukiangalia maintanance and everyday running costs ya hizo gari mbili. Unamshauri mtu achukue ipi?Inategemea kwenye gari unahitaji nini, mbio au kuvuta mizigo. Kwa matumizi ya kawaida horsepower iwe kubwa kuliko torque. Ila kama gari yako inavuta trailers etc torque kubwa muhimu.
Kwa mifano yako hapo juu namba 1 itakuwa na mbio na namba 2 itakuwa na uwezo wa kupiga kazi(kuvuta trailer,kubeba mizigo,milima etc).
Diesel ni high maintenance kuliko petrol engine. Diesel is more susceptible to mafuta machafu ya bongo kuliko petrol engine. Mzee ukiweka diesel chafu injectors zikifa utaambiwa moja £1500 macho yatakutoka. Ya petrol inavumilia kidogo. Kwa bongo achukue petrol engine.Ukiangalia maintanance and everyday running costs ya hizo gari mbili. Unamshauri mtu achukue ipi?
Petrol mkuu.Kwa mfano mtu anataka kununua gari lenye varieties mbili tofauti kwenye hizo scenario tofauti. Utamshauri achukue ipi ya diesel au petrol?
Ukiangalia pia maintanance and everyday running costs.
Nina rafiki yangu walimuwekea mafuta machafu kwenye Ford Ranger, katumia 7m kubadili injectors. Tena ni refurbished injectors.Petrol mkuu.
Diesel ni high maintenance kuliko petrol engine. Diesel is more susceptible to mafuta machafu ya bongo kuliko petrol engine. Mzee ukiweka diesel chafu injectors zikifa utaambiwa moja £1500 macho yatakutoka. Ya petrol inavumilia kidogo. Kwa bongo achukie petrol engine.
NB: Nazungumzia matumizi hapa Tz
Nina rafiki yangu walimuwekea mafuta machafu kwenye Ford Ranger, katumia 7m kubadili injectors. Tena ni refurbished injectors.
Duu! Inaumiza saana aise. Yaani mtu anakuingiza gharama ya kununua kigari kingine kizuri tu used.Nina rafiki yangu walimuwekea mafuta machafu kwenye Ford Ranger, katumia 7m kubadili injectors. Tena ni refurbished injectors.
Hizi gari mpya hasa za diesel usiue kitu inaitwa injector. Ndio maana unashauriwa kuweka mafuta vituo vinavyoeleweka na unachukua risiti likibuma unawarudia.Dah umenikumbusha kuna kipindi nilikuwa mkoa. Kuna jamaa alikuja na Landcruser V8 lake kulicheck likawa limezingua injector moja. Nilichoka niliposikia injector ya ile gari ni milioni tena used.
Yaani diesel cars kwa kweli zinahitaji ustaarabu saana. Watu huwa wanazitamani vile bei ya mafuta ni ndogo, lakini zina changamoto saana kwenye maintenance cost.Diesel ni high maintenance kuliko petrol engine. Diesel is more susceptible to mafuta machafu ya bongo kuliko petrol engine. Mzee ukiweka diesel chafu injectors zikifa utaambiwa moja £1500 macho yatakutoka. Ya petrol inavumilia kidogo. Kwa bongo achukie petrol engine.
NB: Nazungumzia matumizi hapa Tz
Na diesel inachakachulika kirahisi kuliko petrol. So risky inakuwa kubwa zaidi kwa gari la diesel.Hizi gari mpya hasa za diesel usiue kitu inaitwa injector. Ndio maana unashauriwa kuweka mafuta vituo vinavyoeleweka na unachukua risiti likibuma unawarudia.
Tatizo ukisafiri unajikuta huna choice,mtihani uko hapo.
Okay. Naongelea gari ya kawaida ya maisha ya kila siku hasa hizi SUVs.
SUVs za Europe kuna za Diesel nyingi kuliko Petrol. Najiuliza kwanini wajaze madiesel kuliko petrol?
Diesel inakupa higher miles per gallon. Diesel ya Ulaya ni safi, Diesel engine inapiga mzigo,SUV Europe unakuta mtu anaburuza motor home, au mkandarasi anaburuza trailer ina tools.Okay. Naongelea gari ya kawaida ya maisha ya kila siku hasa hizi SUVs.
SUVs za Europe kuna za Diesel nyingi kuliko Petrol. Najiuliza kwanini wajaze madiesel kuliko petrol?