Naomba ufafanuzi katika Injini za 1GD na 2TR

Naomba ufafanuzi katika Injini za 1GD na 2TR

Pafyum

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
208
Reaction score
113
Habari wakuu,

Naomba kupata uelewa kati ya engine 1GD Diesel na 2TR Petrol zote za Toyota Land Cruiser Prado. Ipi ni nzuri kwa durability, fuel consumption na parts?

Zote ni CC 2800

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi tuanze kwanza kuaingalia "GD" yenyewe.

Toyota GD engine series ni diesel engine amabzo zimetengenezwa na toyota na imeanza kuappear rasmi in 2015.

Na ime-replace toyota KD engine series,
this engine i,ekuja na teknolojia moja maridadi kabisa inayoitwa kitaalamu ESTEC
Yaani Economy with SuperiorThermalEfficient Combustion technology.

Wenyewe toyota claims wanayo a maximum thermal efficiency of 44 percent, "top class" at the time of introduction.


COMBUSTION YAKE :

Turbocharger = variable nozzle with intercooler

Mfumo wa mafuta = Common rail Direct Injection

Aina ya mafuta = Diesel

Mfumo wa upoozaji = water - cooled


HAYA, TUANGLIE 2TR NAZO ;

Engine hizi za toyota za series hii ya "TR"engine is a family of gasoline engines ambayo ilianza ku-appear in 2004.

They are mainly used for vehicles in the Toyota IMV platform kama vile the HiLux, Innova, na Fortuner; and are designed to be mounted longitudinally for pickup RWD and 4WD pickup applications.


Consumption ni wastani wa 9km/L

Haya ndio machache niyajuayo. I hope itakupa mwanga.
 
1GD inavyovuta kwenye Prado za kuanzia 2015 ni kama vile kuna mfuko fulani hivi unapuliza hadi raha kuisikiliza...na turbo unausikia ule mluzi wake ni raha sana...
 
1GD inavyovuta kwenye Prado za kuanzia 2015 ni kama vile kuna mfuko fulani hivi unapuliza hadi raha kuisikiliza...na turbo unausikia ule mluzi wake ni raha sana...
Mzee wa ma diesel engine,nakuaminia.
 
Back
Top Bottom