ABDUL-LATIF
Member
- Oct 18, 2017
- 8
- 0
Nimechaguliwa DMI bachelor Maritime Transportation lakini sina ufahamu wowote kuhusu hii kozi? Then ni kozi gani nzuri kati ya Maritime Transportation na Marine Engineer?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sorry mkuu ivi hapo DMI jeshi la wananchi huchukua vijana au ni story tuu za mtaani?Mimi nilimaliza hapo
Soma ukiwa unatunza pesa kwaajili ya kununua kazi(nje ya nchi) la sivyo utapotea
Ajira za marine zimeshikwa na watu hivyo ni vigumu kutoboa
Nenda ukasome ila kuwa makini na inabidi uwe mtu wa kuwasumbua watu ili wakupe channel
Ilikua zaman saiv hakuna kitu kama hicho mm nakupa ukweli ili usidanganyike na ukifika pale mtadanganyana sana. Ila kikubwa ni kujipanga andaa dola 15000 ili ukimaliza mambo yasiwe magumu ukitaka kununua kazi za njesorry mkuu ivi hapo DMI jeshi la wananchi huchukua vijana au ni story tuu za mtaani?
Sorry ni 1500Ilikua zaman saiv hakuna kitu kama hicho mm nakupa ukweli ili usidanganyike na ukifika pale mtadanganyana sana. Ila kikubwa ni kujipanga andaa dola 15000 ili ukimaliza mambo yasiwe magumu ukitaka kununua kazi za nje
asante mkuu.... vp lakin nje uhakika upo? nchi zp hasa soko lipo vzuri, sisi wengine hatuna connectionSorry ni 1500
Sio rahisi kama unavodhani nako kunachangamoto zake.. Ila ukishafanikiwa kupata class 3 ndo basi tena unakua ushatoboa maisha yanakua kitonga hapo kazi zinakua nyingi had unazikimbia yani unakua unaringaasante mkuu.... vp lakin nje uhakika upo? nchi zp hasa soko lipo vzuri, sisi wengine hatuna connection
Inamaana mkopo ni ngumu kupatamkuu nakuambia kuwa nenda hizo kozi Mzuri kwa kweli, but mchawi uwe na pesa ya kujikimu tu maana nazan ada unalipa mwenyewe
NOTE: KUNA WAKAT UNABIDI KWENDA KUOGELEA KWENYE MAJI YA KUPITA MELI, KAMA HAUWEZ KUOGELEA UNAENDA kufanya MAZOEZI KWENYE SWIMMING POOL
tena ni ngumu sana kwa paleInamaana mkopo ni ngumu kupata
Mambo meusi mno paleMkuu unamaanisha mkopo nishida kupata dmi
Nawewe umenunua kazi?Mimi nilimaliza hapo
Soma ukiwa unatunza pesa kwaajili ya kununua kazi(nje ya nchi) la sivyo utapotea
Ajira za marine zimeshikwa na watu hivyo ni vigumu kutoboa
Nenda ukasome ila kuwa makini na inabidi uwe mtu wa kuwasumbua watu ili wakupe channel
Hapo ndo wabongo tunapo feli unapewa siri za kivita halafu unamuuliza alokupa siri kama nayeye amewahi kuzitumia au laaNaww umenunua kazi?
Big up kumbe unajua unajua unachosemaSio rahisi kama unavodhani nako kunachangamoto zake.. Ila ukishafanikiwa kupata class 3 ndo basi tena unakua ushatoboa maisha yanakua kitonga hapo kazi zinakua nyingi had unazikimbia yani unakua unaringa
Sio ivo mkuu jf ipo kwaajr ya kujifunza na bira ww watu hatuwez juaHapo ndo wabongo tunapo feli unapewa siri za kivita halafu unamuuliza alokupa siri kama nayeye amewahi kuzitumia au laa
Ushaambiwa ipo ivo sasa why unaniuliza swali la kipuuzi hilo
Ila si nimeelezea hapo kila kituSio ivo mkuu jf ipo kwaajr ya kujifunza na bira ww watu hatuwez jua
Usijari wewe soma ila ndo ivo usome ukiwa unazichanga au uwaambie kabisa kwenu kwamba ukimaliza wakupe support ya hela ya kuvuka boda ukisubiri vya bure utaumbukaPoa mkuu ila maelezo yako yamenitisha, niko apo dmi nasoma btcmo (basic technician certificate in maritime operation) nimeingia pale chuon nawaza nikmaliza ntaenda wapi maana bongo hatuna meli. Nilianzisha uzi watu wakanishauri nipige marine engineering, dah kiukweli umeniweka tumbo joto