Jamiiforums members naomba ufafanuzi ktk fakati zifuatazo kwamba unakuwa nani na ajira yake nini,.
-Bachelor of art in environmental disaster.
Huyu hapa kazi yake kujua ni vitu gani vinasababisha disasters katika mazingira kama volcanic erruptions, landslide, drought, earthquake. pia anajifunza namna ya kupunguza matokeo ya disasters hizo katika maisha ya binadam, na namna gani organizations zinaweza kuwasaidia wanao athirika baada ya disaters hizi. mara nyingi wanafanya kazi serikalini au NGO za Disaster Managment.
-Bachelor of art in Geography and environmental studies.
Huyu nae anasomea mazingira ila sio disasters. ni mazingira in general. anasomea climate, relief na matokeo yake katika mazingira. echosystem mbali mbali etc. Anafanya kazi serikalini pia au NGO.
-Bachelor of art in project planning management and community development.
huyu anaandika miradi ya maendeleo na anasaidia jamii at the local level. anafanya kazi kijijini au kama ni mjini anafanya kazi na wale wananchi wenye matatizo ya kimaendeleo. NGO/serikali
-Bachelor of art in sociology.
huyu anasoma dynamics za jamii na kuzielewa. yeye kama yeye hua hasimamii miradi ila anaweza kushirikiana na community development manager kwa kuandika social dynamics etc.
-Bachelor of art in health system management.
huyu anafanya kazi katika miradi ya afya. anaweza kufanya kazi wizara ya afya au NGO yenye kufanya kazi na wizara hiyo. ni public health. Anapanga nani anafanya kazi gani katika miradi hiyo, kwa kutumia ressources gani.
-Bachelor of art in Human resources management.
Huyu anahusika na kupanga organisation inahitaji watu ngapi, watu gani, kuwatafuta hao watu na kuhakikisha hao watu wakisha ingia kazini wanafanya kazi wanayo takiwa kufanya, na hawashawishiki kuhama katika organisaion nyingine. anafanya yotre haya akizingatia pesa na objective ya organisation yake.
-Bachelor of art in tourism and cultural hertage.
Kama jina linavo jieleza huyu anahusika na mambo ya utalii na sanaa...
NISAIDIENI WANA JAMIIFORUMS SIJUI WAPI PAKUANZIA NITAWAKUMBUKA SANA MAISHANI MWANGU