Naomba ufafanuzi ktk fakati hizi

Taeki-1africa

Member
Joined
May 19, 2012
Posts
23
Reaction score
3
Jamiiforums members naomba ufafanuzi ktk fakati zifuatazo kwamba unakuwa nani na ajira yake nini,.
-Bachelor of art in environmental disaster.
-Bachelor of art in Geography and environmental studies.
-Bachelor of art in project pranning management and community development.
-Bachelor of art in sociology.
-Bachelor of art in health system management.
-Bachelor of art in Human resources management.
-Bachelor of art in tourism and cultural hertage.
NISAIDIENI WANA JAMIIFORUMS SIJUI WAPI PAKUANZIA NITAWAKUMBUKA SANA MAISHANI MWANGU
 
Najaribu tu, haya maelezo ni maelezo ya haraka haraka ila nadhani wachangiaji wengine wanaweza kuleta mwangaza zaidi kuhusiana na elimu moja au nyingine.

 
Dah, RR umemjibu fresh, ila hizo siyo faculty ni programmes, faculty is the huge thing bro, within a single faculty you may find various programmes.. Best of lucky..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…