Melxcom991
Senior Member
- Aug 2, 2021
- 101
- 115
Wakuu samahanini nilikuw naomba ufafanuzi kuhusu bachelor of science in information system kwenye upatikanaji ajira na hata pia uwezo wa kujiajiri binafsi kama inawezekana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaka kunauwezekano wakujiajiri binfsi kwa hii course?Nadhani hii ni IT Tu, kiujumla ajira zipo Ila inabidi ujue na uwe competent Kwa sababu opportunity zipo na ushindani Pia ni mkubwa.
Itakubidi utengeneze projects ambazo watu watakiwa wanatumia(real life projects) ukiwa bado unasoma usisubiri umalize chuo.