Nadhani hii ni IT Tu, kiujumla ajira zipo Ila inabidi ujue na uwe competent Kwa sababu opportunity zipo na ushindani Pia ni mkubwa.
Itakubidi utengeneze projects ambazo watu watakiwa wanatumia(real life projects) ukiwa bado unasoma usisubiri umalize chuo.