Na hilo pia sio jibu sio kila mwenye kuuliza hajui kiengereza muda mwengine kuuliza kunazaa matunda na faida kwa watu wengine ambao hawana ufahamu kuhusu kitu fulani.Maelezo ya Chuo yanapatikana kwenye website yao, ndio maana mnatakiwa mfanye mtihani wa Kingereza, hili si la kuuliza.
Hujajibu swali lake...kama hujaelewa haikuwa na haja kujibu mkuu.Maelezo ya Chuo yanapatikana kwenye website yao, ndio maana mnatakiwa mfanye mtihani wa Kingereza, hili si la kuuliza.
Kwa Tanzania yetu ni muhimu kujiridhisha na tcu kwani hawatabiriki usije unaonekana umetwanga maji kwenye kinu. Kuna mfano wa diploma za ncc education na top up degree ya university of central lancashire ukipeleka cheti nacte au tcu wana downgrade but the rest of the world wanatambua (labda kama wamebadilika).Hicho chuo kinatambulika dunia nzima.
Na kinatoa elimu bure, yaani hulipi hata mia.
We andaa tu laptop na bando LA kutosha.
Samahani mkuu unapo semawana downgrade una maanisha ?Kwa Tanzania yetu ni muhimu kujiridhisha na tcu kwani hawatabiriki usije unaonekana umetwanga maji kwenye kinu. Kuna mfano wa diploma za ncc education na top up degree ya university of central lancashire ukipeleka cheti nacte au tcu wana downgrade but the rest of the world wanatambua (labda kama wamebadilika).
Hii tuliongelea zamani kidogo kwa sasa sijui hali ikoje. Ina maana ukiwapelekea your top up degree wao wana equate na diploma. Lakini hebu waulize pctl (power computers) kwa sasa watakueleza hali ilivyo. Last year niliona kuna kijana wao alipata degree yao.Samahani mkuu unapo semawana downgrade una maanisha ?