Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Harrier 240G

mahaha

Member
Joined
Mar 23, 2022
Posts
8
Reaction score
7
Habari wadau napenda kujua hii harrier new model 240G vipi kuhusu bei za spea na ulaji wa mafuta. Nimezipenda nataka niichukue. Naombeni ushauri wenu
 
Au wewe ulaji wa mafuta kwako ni at least iende lita ngapi kwa kilometa ndio useme inakula vizuri?

Na ikiwa chini ya hapo useme inakula vibaya?
 
Habari wadau napenda kujua hii harrier new model 240G vipi kuhusu bei za spea na ulaji wa mafuta. Nimezipenda nataka niichukue. Naombeni ushauri wenu
Mkuu Nunua tu ist stress free KWA raha zako
 
Harrier 240G, yananunuliwa sana na wastaafu, sijajua wanatumia pension kuweka mafuta au?​

Habari wadau napenda kujua hii harrier new model 240G vipi kuhusu bei za spea na ulaji wa mafuta. Nimezipenda nataka niichukue. Naombeni ushauri wenu
Hiyo gari ninayo hivyo naweza kuisemea kdg. Kwa upande wa spea zinapatikana ila ni kwa bei kubwa kdg kulinganosha na toyota zingine za chini kama spacio au raum. Mfano break pad za mbele original toyota ni 270k, fake yake 120k ya kawaida mpaka elfu 60 unapata. Kuhusu ulaji wa mafuta kwa uzoefu wangu ni vyema ukawa na gari nyingine ya mizunguko. Ukitaka kufanya mizunguko na harrier basi jiandae linabugia sana mafuta. Kwa safari ni mazuri na very comfortable ila kwa mizunguko sio rafiki. Ni gari nzuri ya kutokea mara moja moja na safari sio ya kupuyanga mjini.....
 
This is the original comment.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] achukue tu alafu 2400 ni ndogo angechukua Lexus RX 350

ndio tamuu.. kulia lia mafuta ni kipimo tosha kwamba bado bado.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwache bhana...
Sasa hilo ulilomshauri si atakuwa anakutana na taa za Christmas kwenye Dashboard kila baada ya siku mbili..
 
Back
Top Bottom