Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Harrier 240G

Zaidi ukipata lile Wese la kuweka kwa Card...
Hutaki kuona ule mshale umesogea..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jeep yako ile vipi ipo? machine sana ile si ina 5.2L ? unyama sana.. card na cash havina tofauti πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ sema moja hela ki digital ingine hela hardcopy
 
Jeep yako ile vipi ipo? machine sana ile si ina 5.2L ? unyama sana.. card na cash havina tofauti [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sema moja hela ki digital ingine hela hardcopy
Jeep gani hilo we'Mzee??

Kwa Cash inaletaga nidhamu sana..hata kuwasha AC unaotea..lile la kuweka kwa Card si unajua tena...Hapo Card kila mwezi inawekwa lita kadhaa..Na humalizi..
Kinachofuta unaenda kuwauzia Pump attendant...Bado watataka na % yao[emoji2].
 
Ile jeep kama damu ya mzee πŸ˜€πŸ˜€
 
Ile jeep kama damu ya mzee [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenifanya nicheke sana HM...
Mimi sina gari bhana..
Ila maisha ya JF si unajua namna yanatupeleka...Humu lazima kila kitu Uwe nacho...Nyumba nzuri,gari nzuri na kadhalika..

Kama huna ni kesi nyingine[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…