Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Honda CV-V

SHIGOTTO

Senior Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
156
Reaction score
282
Haya ndugu na marafiki, nakuja kwenu ili nipate uzoefu wa Honda CR-V uzuri wake na changamoto zilizonazo, mambo yakienda sawa nataka kumiliki gari hii.

Nawakilisha kwa maoni zaidi.

1619009072024.png

Honda CV-V
 
Haya ndugu na marafiki, nakuja kwenu ili nipate uzoefu wa Honda CR-V uzuri wake na changamoto zilizonazo, mambo yakienda sawa nataka kumiliki gari hii.

Nawakilisha kwa maoni zaidi.

Gari za Honda hazina mashaka kabisa, ni wewe tu kuwa na fundi wa uhakika wa khangaika na mifumo yake nayo itadumu! Nadhani katika soko la marekani huyu ndiye best seller akichuana na Toyota
 
Nlikuwa nayo ila ni model ya zamani kidogo tatizo ni kwenye spare kioo cha mbele kushoto kilipasukaga nlikitafuta nikakosa nikaweka cha hilux
 
Gari za Honda hazina mashaka kabisa, ni wewe tu kuwa na fundi wa uhakika wa khangaika na mifumo yake nayo itadumu! Nadhani katika soko la marekani huyu ndiye best seller akichuana na Toyota
Honda Bongo na mafundi wetu Lazima kichwa kikuume
 
Back
Top Bottom