Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani kiongozi lakini kwa miaka ya saizi ishu ya umeme na vipuri sio tatzo sana kwa Tz ata madealers wapo wengiAchana nayo km una hela ya wasiwasi inaonesha umeme mwingi na vipuri vyake adimu Tz
Kweri kiongozi Inshallah December chuma kitakuwa bongoVipuri siku hizi sio tatizo. Dunia kama kijiji mkuu.
Umeme mwingi sio tatizo pia....
Kodi ya hiyo gari itakuwa kubwa kuliko ilivyokadiriwa na TRA calculatorHabari wakuu..! Naomba mwenye uzoefu na hii gari kwa ujumla naoona imekaa poa ata kodi yake ipo vizuri View attachment 1938364View attachment 1938365
Achana nayo kama una hela ya wasiwasi inaonesha umeme mwingi na vipuri vyake adimu Tz
Kodi ya hiyo gari itakuwa kubwa kuliko ilivyokadiriwa na TRA calculator
Kwa hiyo ikifika Bongo TRA watatumia CIF ya BF.
TRA huwa wanafanya makadirio yao na ndo wanaweka kwenye mfumo. Sasa endapo utaingiza gari ikiwa na bei kubwa kuliko waliokadiria wao itabidi watumie bei uliyonunulia wewe kufanya makadirio yao.Is it possible??
Kwanini system ikosee makadirio
Kwa mwenye kujua zaidi msaada
Ni kweli unaeza agiza gari then kodi ikatofautiana na iliyopo kene calculator zao TRA
TRA huwa wanafanya makadirio yao na ndo wanaweka kwenye mfumo. Sasa endapo utaingiza gari ikiwa na bei kubwa kuliko waliokadiria wao itabidi watumie bei uliyonunulia wewe kufanya makadirio yao.
Kwa maneno mengine ukiwa na mfuko wa kuunga kama wangu na unataka kununua gari hakikisha una bargain kwa kuzingatia CIF ya TRA vinginevyo jiandae kulipa kodi ya kile kiasi kinachozidi. Mfano kama CIF ya TRA kwenye gari husika $3000 ila gari uliyopenda CIF inasoma$4000 TRA watataka kodi ya hiyo $1000 iliyozidi.