Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Mazda CX 5

Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Mazda CX 5

Naipenda sana hii gari japo bongo sizioni. Wajuzi wa hizi kazi hii gari inachangamoto gani? Hasa hizi za (2012 - 2016)

Ni gari nzuri, siyo nyingi bongo ila zipo. Fanya utafiti zaidi ya uchaguzi wa engine kati ya diesel na petrol. Kama unaitaka nunua. Kenya zipo sana ila nikiona mtu mmoja anasema engine ya petrol ni nzuri zaidi ya diesel kwenye suala service na reliability
 
Tunaposhindwa, huwa ni upande wa mafundi tuu basi.
 
Back
Top Bottom