Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Min copper club man

Dak BMW e46 mwaka 2002 hadi 2004 M Sports package. Hapo kwenye mwaka nipo serious.

Hapa mjerumani alipotulizaga kichwa aisee.

Dak BMW e46 mwaka 2002 hadi 2004 M Sports package. Hapo kwenye mwaka nipo serious.

Hapa mjerumani alipotulizaga kichwa aisee.

View attachment 1446789

Mkuu ni matoleo yote ya gari za kijerumani kwa hii miaka ambayo umetaja au ni kwa ajili ya hiyo gari tu?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…