Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Nissan Hardboy (pick up)

Fursakibao

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
6,813
Reaction score
11,540
Habari za mdaa huu wadau,

Mwenye uelewa kuhusu Nissan Hardboy anisaidie kujua

1. Kama ni gari imara hasa kwenye barabara zetu za vijijini
2. Ulaji wa mafuta
3. Upatikanaji wa spea na mafundi.

Nawakilisha

1601898043877.png

Nissan Hardboy (pick up)
 
Ni imara kiasi na inakula mafuta vizuri, chukua yenye injini ya TD25 hiyo mafundi na spea utapata kila sehemu kwa kuwa zinaingiliana na NIssan Caravan na Nommy.
Kumbuka kufanya service kwa wakati Nissan bidhaa zao zinataka matunzo kama mboni ya jicho.
 
Nissan Gari makini
 
Back
Top Bottom