Ni imara kiasi na inakula mafuta vizuri, chukua yenye injini ya TD25 hiyo mafundi na spea utapata kila sehemu kwa kuwa zinaingiliana na NIssan Caravan na Nommy.
Kumbuka kufanya service kwa wakati Nissan bidhaa zao zinataka matunzo kama mboni ya jicho.