Wana JF nilikuwa nahitaji kununua noah yenye engine ya 1AZ naomba kujua inakuwa na matatizo gani mara kwa mara wakati wa kutumia.
View attachment 1440391
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana JF nilikuwa nahitaji kununua noah yenye engine ya 1AZ naomba kujua inakuwa na matatizo gani mara kwa mara wakati wa kutumia.
View attachment 1440391
Sent using Jamii Forums mobile app
1AZ FSE ni engine nzuri ikiwa utakuwa makini kiutunzaji,Nina experience na hizi engine,zimekuwa zikisumbuliwa na mfumo wa mafuta mara nyingi zikizingua,hivyo basi hakikisha unaweka petrol safi,pili zina overheat Ila ni uzembe wa wamiliki.
Sent using Jamii Forums mobile app
1AZ-FSE ambayo ni D4-VVTI hii engine naitumia kwenyeWana JF nilikuwa nahitaji kununua noah yenye engine ya 1AZ naomba kujua inakuwa na matatizo gani mara kwa mara wakati wa kutumia.
View attachment 1440391
Sent using Jamii Forums mobile app