Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Subaru Legacy

B I N A M U

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
1,495
Reaction score
2,403
Jamani nimekuwa kwenye vitz (cc 990) yangu kwa miaka kibao ni gari ambayo imenipokea vizuri sana kwenye ulimwengu wa kumiliki magari (kwa kijana kama ndio kwanza unaingia kwenye ulimwengu wa magari vitz hutojuta).

Sasa bhana nimepata chochote kitu nataka ku upgrade na recommended subaru legacy yenye turbo nimeipenda sana. Msaada naomba mwenye kuijua vizuri kunichambulia gari hii.


Subaru Legacy
 
Bro Subaru itakusumbua spare zake gharama. Baki kwenye Toyota Mzee, Bora umiliki hata premio
 
Hiyo kitaalaam tunaita umepanda kiuchum si ndiyo kaka sasa we angalia nunua hiyo subaru nashaur vitz usiiuze itakuja kukusaidia ukikwama service ya subaruuu
 
Gari zuri sana.

Kikubwa kumbuka tu zile gharama za vitz kwenye Maintenance & service, approximately zidisha mara 3 hivi.
dooooh ila linaperform sana nasikia. Sija bahatika kuligusa
 
Kuna jamaa yangu analo naonaga linasomaga 6-7 km/l likichanganya speed linafika 8km/l.

Difference lazma ui feel mwamba yani toka 16km/L mpaka 8Km/L safari za sheli za hapa na pale lazima.
almost twice ya vitz
 
Chukua hiyo subaru ila vitz usiiuze itakuwa inakusave siku ukiipiga service au kama hela ya mafuta imebaki kidogo
 
Nunua Subaru mkuu gari zuri ila budget yako ya mafuta ya week zidisha mara 3!
Huwa zikimbia hizi gari kweli.. kinachofanya pia nisizipende sana hizi gari mengi yao yana turbo. Na mie na gari inayotumia turbo hatupatani kabisa.. sizipendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…