Habari zenu wakuu,
Naomba uzoefu kwa ambaye ameshawahi kuitumia hii gari (Swift) anipe uzoefu wake kwenye mambo yafuatayo:
1. Uimara kwenye barabara zetu za mikoani.
2. Upatikanaji wa spare parts
3. Matumizi yake ya mafuta
4. Comfortability
Gari inategemewa kutumika sehemu za milimani mara kadhaa na tambarare zaidi... barabara ya vumbi
Note
Hii itakuwa ndiyo gari yangu ya kwanza
Bajeti yangu ni 8m
Kama kuna gari mbadala kwa bajeti hiyo pia napokea ushauri.
Karibuni!