1. Inahitaji umakini kwenye kuendesha kwenye barabara mbovu sababu suspension components zake sio imara kivile.Habari zenu wakuu...
Naomba uzoefu kwa ambaye ameshawahi kuitumia hii gari (Swift) anipe uzoefu wake kwenye mambo yafuatayo:
1. Uimara kwenye barabara zetu za mikoani...
Aksante Mkuu kwa mchango wako...No gari nzuri ina sifa zote za kuitwa gari,nimeenda nayo Mwanza na kurudi bila tatizo lolote.....Yaani naipenda km mke wangu wa pili.
Aksante sana Mkuu...vp unashauri gari gani mbadala wa hiyo ambayo itakidhi mahitaji yangu hapo juu???1.
1. Inahitaji umakini kwenye kuendesha kwenye barabara mbovu sababu suspension components zake sio imara kivile.
2. Spare parts zinapatikana japo sio kwa wingi kama za Toyota, so sometimes bei zake zinakuwa juu. Inashare parts na Chevrolet Cruze.
3. Inatumia mafuta kidogo hasa kwa matumizi ya mjini...
Kama Engine haina shida,16km/ltr.Aksante Mkuu kwa mchango wako...
Vp kuhusu matumizi yake ya mafuta???
Sent using Jamii Forums mobile app
IST mkuuAksante sana Mkuu...vp unashauri gari gani mbadala wa hiyo ambayo itakidhi mahitaji yangu hapo juu???
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mwanza dar ulitumia lita ngapi za mafutaNo gari nzuri ina sifa zote za kuitwa gari,nimeenda nayo Mwanza na kurudi bila tatizo lolote.....Yaani naipenda km mke wangu wa pili.
Full Tankx2=Not less than 90ltsMkuu mwanza dar ulitumia lita ngapi za mafuta
sent from toyota Allex
Full Tankx2=Not less than 90lts
Kama ni mtu mmoja...mkiwa wanne au watano?90 x 2300 = 207,000/=
Ni sawa na kwenda kwa basi mara 4.
Hilo basi unaendesha wewe?90 x 2300 = 207,000/=
Ni sawa na kwenda kwa basi mara 4.