mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Msaada kutoka kwa wakulima na maafisa ugani. Hivi naweza kutumia SA kukuzia mahindi?
Nikiichanganya na superGro?
Nikiichanganya na superGro?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakushauri ukuzie Urea na S/A, hiyo supergro hakuna mbolea pale, Ile kazi yake ni kufanya virutubisho vya kwenye mbolea vifyozwe kiurahis kupitia majaniMsaada kutoka kwa wakulima na maafisa ugani. Hivi naweza kutumia SA kukuzia mahindi?
Nikiichanganya na superGro?
Mi sijui, ila kwanini usijaribu kumtafuta mtaalamu wa kilimo eneo ulilopo kwa detailed ushauri? Tena wa kisasa kabisa, unamfuata tu katika story za kawaida.
Pia ulizia wakulima wenzako wa eneo hilo, mana hizi mbolea kwa Tz zinatofautiana kikanda
Haina uwiano mzuri wa virutubisho.In fact sio mbelea Kwa Ajili ya mahindi Bali zao lingine au Ardhi yenye shida kubwa ya upungufu wa sulphur.Msaada kutoka kwa wakulima na maafisa ugani. Hivi naweza kutumia SA kukuzia mahindi?
Nikiichanganya na superGro?