Naomba ufafanuzi kuhusu hili kwenye Sheria ya Ndoa

Naomba ufafanuzi kuhusu hili kwenye Sheria ya Ndoa

Kizoda

Senior Member
Joined
Mar 5, 2022
Posts
130
Reaction score
302
Hivi mtu ukiwa Na cheti cha ndoa Na mtu akikuchukulia mkeo Bila wewe kumpa talaka Sheria inasemaje juu ya ilo?

Nitalipwa au nitapigwa Na kitu kizito kichwani?
 
Una ushahidi ata wa Condom iliyotumika kwa mkeo mkuu?
 
Back
Top Bottom