K Kizoda Senior Member Joined Mar 5, 2022 Posts 130 Reaction score 302 May 7, 2022 #1 Hivi mtu ukiwa Na cheti cha ndoa Na mtu akikuchukulia mkeo Bila wewe kumpa talaka Sheria inasemaje juu ya ilo? Nitalipwa au nitapigwa Na kitu kizito kichwani?
Hivi mtu ukiwa Na cheti cha ndoa Na mtu akikuchukulia mkeo Bila wewe kumpa talaka Sheria inasemaje juu ya ilo? Nitalipwa au nitapigwa Na kitu kizito kichwani?
Zero IQ JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 13,959 Reaction score 24,935 May 7, 2022 #2 Una ushahidi ata wa Condom iliyotumika kwa mkeo mkuu?
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 15,771 Reaction score 14,294 May 7, 2022 #3 Zero IQ said: Una ushahidi ata wa Condom iliyotumika kwa mkeo mkuu? Click to expand... Kafungue kesi ya madai kama una ushahidi.Ushahidi waweza kuwa fumanizi,ana cohabit na mtu mwingine ama kazaa naye.Au kakutelekeza.
Zero IQ said: Una ushahidi ata wa Condom iliyotumika kwa mkeo mkuu? Click to expand... Kafungue kesi ya madai kama una ushahidi.Ushahidi waweza kuwa fumanizi,ana cohabit na mtu mwingine ama kazaa naye.Au kakutelekeza.