RALO Member Joined Jan 31, 2012 Posts 46 Reaction score 13 Aug 31, 2020 #1 Habari ya muda huu wadau, gari yangu aina ya subaru legacy manual transmission inahitaji kubadilishwa clutch master cylinder, kwa wale wajuzi hii kitu naweza kuipata kwa bei gani? Natanguliza shukrani zangu
Habari ya muda huu wadau, gari yangu aina ya subaru legacy manual transmission inahitaji kubadilishwa clutch master cylinder, kwa wale wajuzi hii kitu naweza kuipata kwa bei gani? Natanguliza shukrani zangu