Naomba ufafanuzi kuhusu hili la dhamana ya UTT

SHIGOTTO

Senior Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
156
Reaction score
282
Wapendwa salaam! napenda kujuwa mtu anapokuwa na dhamana ya fedha za UTT mfano bond za 300m anaweza tumia hiyo Kama colleteral kwenye taasisi za fedha? au UTT inaweza ikakupesha kupitia dhamana hiyo?
 
Ndiyo dhamana inayokubalika na benk haraka kuliko dhamana nyingine yeyote.kila bank inaikubari bila mrorongo
 
Back
Top Bottom