M Man juga New Member Joined Apr 1, 2021 Posts 1 Reaction score 0 Apr 1, 2021 #1 Naomba kupewa ufafanuzi. 1) mwajiri akikusimamisha kazi anatakiwa aunde tume ndani ya siku ngap? Na asipo unda tume? 2) Je, ni halali kwa mwajiri kumjibu mtumishi majibu ya chargesheet au majibu yaende kwenye tume?
Naomba kupewa ufafanuzi. 1) mwajiri akikusimamisha kazi anatakiwa aunde tume ndani ya siku ngap? Na asipo unda tume? 2) Je, ni halali kwa mwajiri kumjibu mtumishi majibu ya chargesheet au majibu yaende kwenye tume?
TZ-1 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 4,321 Reaction score 7,501 May 1, 2021 #2 Kwanza mwajiri anavyokufungulia shitaka huw anapeleka kwenye Tume maalum ambayo inasimamia kesi /maswala ya mashtaka katk kada yako Anavyopeleka shtaka ni lazm awe ameambatanisha na ushahidi wa wa Hoja /kesi yako Tume huudwa na hiko kitengo hiko kinachofatilia shitaka lako na Tume hufany ufatialiaji si zaidi ya siku 90. .
Kwanza mwajiri anavyokufungulia shitaka huw anapeleka kwenye Tume maalum ambayo inasimamia kesi /maswala ya mashtaka katk kada yako Anavyopeleka shtaka ni lazm awe ameambatanisha na ushahidi wa wa Hoja /kesi yako Tume huudwa na hiko kitengo hiko kinachofatilia shitaka lako na Tume hufany ufatialiaji si zaidi ya siku 90. .