Naomba ufafanuzi kuhusu hili la matumizi ya Mafuta badala ya gesi katika gari

Naomba ufafanuzi kuhusu hili la matumizi ya Mafuta badala ya gesi katika gari

edger jairos

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
335
Reaction score
71
Habari,

Naomba kujua nasikia gesi kama mafut katika gari ni Bora zaid kuliko petrol/ diesel(mafuta).

Je, kuna uzuri wa hii kitu haina madhara?

Kiuchumi na kiusalama?

Msaad wadau.
 
Back
Top Bottom