edger jairos JF-Expert Member Joined Apr 17, 2017 Posts 335 Reaction score 71 Sep 6, 2020 #1 Habari, Naomba kujua nasikia gesi kama mafut katika gari ni Bora zaid kuliko petrol/ diesel(mafuta). Je, kuna uzuri wa hii kitu haina madhara? Kiuchumi na kiusalama? Msaad wadau.
Habari, Naomba kujua nasikia gesi kama mafut katika gari ni Bora zaid kuliko petrol/ diesel(mafuta). Je, kuna uzuri wa hii kitu haina madhara? Kiuchumi na kiusalama? Msaad wadau.
J jo mose JF-Expert Member Joined Aug 5, 2020 Posts 3,476 Reaction score 4,074 Sep 6, 2020 #2 Gesi Ni gharama nafuuu kuliko mafuta