Nina gari tajwa hapo juu ambayo anaitumia mke wangu, lakini naona kama itanifilisi inatumia sana mafuta ya Lita 1 inakimbia km 6 na wakati nilinunua gari hii nikijua ni nzuri kwenye mafuta, gari haina mis ila ilikuwa inachemsha, nini kinasababisha ulaji mkubwa wa mafuta kwenye magari haya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app