Mkuu kama engine inachensha(overheating( ni kwamba kuna loss of heat energy kubwa na chanzo cha heat enegry kwenye gari ni Mafuta, so lazima gari inywe mafuta balaa.Nina gari tajwa hapo juu ambayo anaitumia mke wangu, lakini naona kama itanifilisi inatumia sana mafuta ya Lita 1 inakimbia km 6 na wakati nilinunua gari hii nikijua ni nzuri kwenye mafuta, gari haina mis ila ilikuwa inachemsha, nini kinasababisha ulaji mkubwa wa mafuta kwenye magari haya.
View attachment 1431940
Sent using Jamii Forums mobile app