Hiyo ni kawaida ukiona unaitafuta 120 ndio balaa.Wataalam habari za wakati huu! Poleni na majuku yenu ya kila siku.
Naomba kujuzwa je ni sahihi joto la engine ya gari kuwa 108 degree centigrade then linashuka hadi 106 hapo nikiwa naendesha sasa naombeni kujua kama hili joto ni kawaida au kuna shida mahala.
ASANTE
Toyota ISTaina gan mkuu??
jamani joto la gari mnaangalizia wapi?mimi yangu ina,,mshale wa kuonyesha C au H.Wataalam habari za wakati huu! Poleni na majuku yenu ya kila siku.
Naomba kujuzwa je ni sahihi joto la engine ya gari kuwa 108 degree centigrade then linashuka hadi 106 hapo nikiwa naendesha sasa naombeni kujua kama hili joto ni kawaida au kuna shida mahala.
ASANTE
Nitaiangalizia wapi kwenye IST????Kikubwa ua cha kua muangalifu isivuke 110°C
Inatosha ,kikubwa isipande kwenye Hjamani joto la gari mnaangalizia wapi?mimi yangu ina,,mshale wa kuonyesha C au H.
Wenzangu naona mna magari ya mwaka 47jamani joto la gari mnaangalizia wapi?mimi yangu ina,,mshale wa kuonyesha C au H.
Magari mengi yenye cc 1500 kushuka chini ndo hua hayaoneshi C na H mkuu yako inaonesha ikiwa imewaka ni kile kitaa cha bluu sasa hio kama inashinda ya cooling system unaistukia imewaka nyekundu na gari kuzima wakati magari mengine unaona inavyopanda tuu kwaio unastukaWenzangu naona mna magari ya mwaka 47
Magari mengi yenye cc 1500 kushuka chini ndo hua hayaoneshi C na H mkuu yako inaonesha ikiwa imewaka ni kile kitaa cha bluu sasa hio kama inashinda ya cooling system unaistukia imewaka nyekundu na gari kuzima wakati magari mengine unaona inavyopanda tuu kwaio unastuka
Hata baadhi ya VW kama Amarok. Nazo zina taa tu.kuna gari kama bmw 3 series ya 2005 haina kabsa temperature gauge mkuu, wala haina hicho kitaa cha blue ili kupata temp yake lazima uaunlock code za temp ndo unaweza ona temp yake