Naomba ufafanuzi kuhusu hizi Silver crest blender

Njugu mawe

Member
Joined
Sep 8, 2023
Posts
33
Reaction score
33
Kuna hizi blender zinaitwa SILVER CREST zinauzwa bei rahisi sana hadi 55,000 alafu wanaziita Heavy duty, kwanini zinaonekana bei rahisi sana lakini zinauwezo mkubwa,

Wataalumu mnipe siri kuhusu kifaa hiki nahitaji kununua, inaweza kuwa zina madhaifh flani ndiyo maana zimeshushwa bei na xinaonekana zimetoka ujerumani
 
Hakuna kitu humo, labda usagie nyanya na maembe mara 1 kwa wiki.

Ila ukiipiga kazi ngumu daily ni mwaka tu mzigo unamtafuta fundi, meno yake yanawahi kufa mapema mnoo.
 
Hizo nzuri sana ila kwa kazi ya muda, yaani zinasaga hadi mawe yale ya kokoto kama za daraja. Ila sasa miezi yake kadhaa miwili au mitatu chali mwaka kidogo chali.
tumia hizi za kawaida za majumbani za kila siku. Hata miaka mia unakaa nazo
 
Asante , aina ipi inafaa zaidi?
 
Kuna hizi blender zinaitwa SILVER CREST zinauzwa bei rahisi sana hadi 55,000 alafu wanaziita Heavy duty, kwanini zinaonekana bei rahisi sana lakini zinauwezo mkubwa,

Wataalumu mnipe siri kuhusu kifaa hiki nahitaji kununua, inaweza kuwa zina madhaifh flani ndiyo maana zimeshushwa bei na xinaonekana zimetoka ujerumani
Hizo nina wasi wasi nazo kuna mtu aliagiza mzigo mkubwa anauza , zilikuwa narudi mpaka kero akaamua kuuza kama fault goods kwa mdau mmoja hivi.

SIJUI KAMA WAMESHAREKEBISHA MAKOSA
 
Hakuna kitu humo, labda usagie nyanya na maembe mara 1 kwa wiki.

Ila ukiipiga kazi ngumu daily ni mwaka tu mzigo unamtafuta fundi, meno yake yanawahi kufa mapema mnoo.
😅Si bora iwe mwaka mkuu utakuwa ushapata hela nyingine
 
Back
Top Bottom