Njugu mawe
Member
- Sep 8, 2023
- 33
- 33
Hakuna kitu humo, labda usagie nyanya na maembe mara 1 kwa wiki.
Ila ukiipiga kazi ngumu daily ni mwaka tu mzigo unamtafuta fundi, meno yake yanawahi kufa mapema mnoo.
Mtu analipa laki 3 huko anakaa nayo zaidi ya miaka 10.55000 kwa mwaka Mzima. Mbona hakuna hasara
Asante , aina ipi inafaa zaidi?Hizo nzuri sana ila kwa kazi ya muda, yaani zinasaga hadi mawe yale ya kokoto kama za daraja. Ila sasa miezi yake kadhaa miwili au mitatu chali mwaka kidogo chali.
tumia hizi za kawaida za majumbani za kila siku. Hata miaka mia unakaa nazo
Ipi ni kampuni bora zaidi?M
Mtu analipa laki 3 huko anakaa nayo zaidi ya miaka 10.
Hizo silver crest ukiigonga mzigo wa kutosha kutoboa mwaka ushukuru mungu
🤣🤣🤣55000 kwa mwaka Mzima. Mbona hakuna hasara
Ipi kampuni yenye blendar imara?Hakuna kitu humo, labda usagie nyanya na maembe mara 1 kwa wiki.
Ila ukiipiga kazi ngumu daily ni mwaka tu mzigo unamtafuta fundi, meno yake yanawahi kufa mapema mnoo.
Kuna Hawa wanajiita Dream nafikiri kutoka Ujerumani, Ngoja wataalamu waje na ushuhuda.Ipi kampuni yenye blendar imara?
Hizo nina wasi wasi nazo kuna mtu aliagiza mzigo mkubwa anauza , zilikuwa narudi mpaka kero akaamua kuuza kama fault goods kwa mdau mmoja hivi.Kuna hizi blender zinaitwa SILVER CREST zinauzwa bei rahisi sana hadi 55,000 alafu wanaziita Heavy duty, kwanini zinaonekana bei rahisi sana lakini zinauwezo mkubwa,
Wataalumu mnipe siri kuhusu kifaa hiki nahitaji kununua, inaweza kuwa zina madhaifh flani ndiyo maana zimeshushwa bei na xinaonekana zimetoka ujerumani
😅Si bora iwe mwaka mkuu utakuwa ushapata hela nyingineHakuna kitu humo, labda usagie nyanya na maembe mara 1 kwa wiki.
Ila ukiipiga kazi ngumu daily ni mwaka tu mzigo unamtafuta fundi, meno yake yanawahi kufa mapema mnoo.