Naomba ufafanuzi kuhusu House allowance

Naomba ufafanuzi kuhusu House allowance

Ibn Mubarak

Member
Joined
Dec 24, 2021
Posts
5
Reaction score
3
Wadau, naomba michango yenu...

Je, ni sawa kwa mtumishi wa uma aliyekuwa akipata posho ya nyumba/house allowance kuacha kupewa na taasisi yake kwa kigezo kuwa yupo masomoni nje ya nchi?
 
Back
Top Bottom