Ibn Mubarak
Member
- Dec 24, 2021
- 5
- 3
Thanks for beautiful replyWewe unachekesha sana! Unadhani pesa ni toilet paper unapata kwa urahisi?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe unachekesha sana! Unadhani pesa ni toilet paper unapata kwa urahisi?!
Wakati nauliza hili nilikuwa sijapitia waraka wa hizi ishu, ila baada ya kupitia nimejiridhiwa they still deserveNi sawa...
Ndio kupewa huko na familia kila mtu anayosi sawa. unakiwa upewe as long una familia
Kwa mujibu wa sheria familia ya mtumishi ni wategemezi wake anaweza kuwa mzazi au mtoto au mke au woteNdio kupewa huko na familia kila mtu anayo