Je, utaratibu upoje kama nataka kutumia gari kutoka Malawi au Zambia ikiwa na usajili wa Malawi, kuna namna ya kulipia iwapo nataka kutumia kwa miezi kadhaa then narudisha.
Kabla ya kuvuka Kasumulu/Tunduma unapoingia mara ya kwanza inabidi ulipie kibali Cha miezi mitatu (USD150). Kisha kikiisha muda utakuwa unaenda ku renew makao makuu ya TRA Mkoa