Nipo DSM mkuu...shukran sana.Mkuu upo mkoa gani?
Kwa hapa DSM mchai chai umekubali na Mint (mnanaa umekubali) rosemary inataka maeneo yenye baridi.
Nimeotesha kwenye contena kwa ajili.ya matumizi yangu sio kibiashara.
Unaweza weka picha ya mnana (mint)...ningependa kuufahamu.Mkuu upo mkoa gani?
Kwa hapa DSM mchai chai umekubali na Mint (mnanaa umekubali) rosemary inataka maeneo yenye baridi.
Nimeotesha kwenye contena kwa ajili.ya matumizi yangu sio kibiashara.
Unaweza weka picha ya mnana (mint)...ningependa kuufahamu.
πππUnaweza weka picha ya mnana (mint)...ningependa kuufahamu.
βHeshima zenu wakuu,
Nina penda sana kilimo cha herbs kama mint (mnanaa), basil (mrehani), rosemary, sage(mjuzi), citronella(kibelarusi), lemongrass (mchaichai), lemon balm (zeri ya limao) na nyingine kama hizi. Tafadhali naomba msaada wa kujua ABC zake ikiwemo mikoa/hali ya hewa, madawa, mbolea, uvunaji, ukaushaji na masoko. Pia nitashukuru nikielekezwa gharama, faida na hasara za kilimo hichi bila greenhouse.
Nawakilisha.