Naomba ufafanuzi kuhusu kilimo cha mbogamboga mkoa wa Lindi

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,001
Reaction score
1,430
Habari,

Naomba kufahamu kwa wazoefu wa mkoa wa lindi, ni wilaya gani ina maji ya kumwagilia. Na kilimo cha mbogamboga huko kinafaa kufanyika. Ufugaji, ni wanyama gani wa kufugwa na ndege wenye soko zuri.

Naomba maelekezo kabla sijaenda huko kikazi
 
umepangiwa wilaya gani ktk mkoa wa lindi?

1. kuhusu bustani mabonde yapo maeneo ya kiwalala, mtua, nyengedi, mtama, nyangao etc, yanapakana na mto lukuledi

2. kuhusu mifugo huku ni michache sana ( ngombe, mbuzi , kondoo) hivyo ni uamuzi wako tu, demand ya nyama ni kubwa
 
ni ruangwa mkuu, mashamba ya kununua amabayo yana rutuba na yako karibu na vyanzo vya maji kwa ajili ya kumwagilia bei zake ikoje. napenda kufuga mifugo uliyobainisha hapo juu. naomba nikupm kwa taarifa zaidi
 
Achana na mboga mboga mzee,nenda KILWA au hapo hapo RUANGWA hapo kuna mapori ya kutosha utalima zao la biashara la ufuta.
 
na ufuta ni mojawapo ya kilimo nitakachofanya, lkn ufuta ni zao la msimu. mboga mboga ni ile za muda mfupi
 
Back
Top Bottom