umepangiwa wilaya gani ktk mkoa wa lindi?Habari,
Naomba kufahamu kwa wazoefu wa mkoa wa lindi, ni wilaya gani ina maji ya kumwagilia. Na kilimo cha mbogamboga huko kinafaa kufanyika. Ufugaji, ni wanyama gani wa kufugwa na ndege wenye soko zuri.
Naomba maelekezo kabla sijaenda huko kikazi
ni ruangwa mkuu, mashamba ya kununua amabayo yana rutuba na yako karibu na vyanzo vya maji kwa ajili ya kumwagilia bei zake ikoje. napenda kufuga mifugo uliyobainisha hapo juu. naomba nikupm kwa taarifa zaidiumepangiwa wilaya gani ktk mkoa wa lindi?
1. kuhusu bustani mabonde yapo maeneo ya kiwalala, mtua, nyengedi, mtama, nyangao etc, yanapakana na mto lukuledi
2. kuhusu mifugo huku ni michache sana ( ngombe, mbuzi , kondoo) hivyo ni uamuzi wako tu, demand ya nyama ni kubwa