Naomba ufafanuzi kuhusu kozi hizi

Naomba ufafanuzi kuhusu kozi hizi

mqaxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2018
Posts
342
Reaction score
559
Habari wakuu,

Naomba ufafanuzi kuhusu kozi hizi:
  • Bachelor of Science in Food Science and Technology
  • Bachelor of Science in Applied Microbiology and Chemistry
  • Bachelor of Science in Molecular Biology and Technology
Soko lake na zinahusiana na nini hio kozi hapo juu
 
Kozi nzuri izo zote chagua moja wapo usome zina ajita tele
 
Habari wakuu,

Naomba ufafanuzi kuhusu kozi hizi:
  • Bachelor of Science in Food Science and Technology
  • Bachelor of Science in Applied Microbiology and Chemistry
  • Bachelor of Science in Molecular Biology and Technology
Soko lake na zinahusiana na nini hio kozi hapo juu
Unaweza usipate ufafanuzi hapa. Jaribu UDSM huwa wana bandiko lenye kuelezea kozi zao kwa ufupi, lakini kwa uhakika zaidi ingia mtandaoni-google halafu ule somo. All the best
 
Ngoja nikapitie huko
 
Back
Top Bottom