Unaweza usipate ufafanuzi hapa. Jaribu UDSM huwa wana bandiko lenye kuelezea kozi zao kwa ufupi, lakini kwa uhakika zaidi ingia mtandaoni-google halafu ule somo. All the bestHabari wakuu,
Naomba ufafanuzi kuhusu kozi hizi:
Soko lake na zinahusiana na nini hio kozi hapo juu
- Bachelor of Science in Food Science and Technology
- Bachelor of Science in Applied Microbiology and Chemistry
- Bachelor of Science in Molecular Biology and Technology