KISUNZU YP
Senior Member
- Jul 30, 2016
- 114
- 37
Habari za humu ndani wakuu, kuna kozi imeanzishwa chuo kikuu cha Mzumbe kwa ngazi ya Bachelor kozi tanjwa hapo juu.
Mimi ni Clinical Officer mwajiriwa wa serikali ninawaza kwenda kuisoma kozi hiyo mwaka wa masomo 2022/23 ila sijui upana wake na kana nikirudi recategorization yake kwa sasa ipo na ina uwanja upi wa fursa.
Nisaidieni hapo