KISUNZU YP
Senior Member
- Jul 30, 2016
- 114
- 37
Nenda mkuu kama upo in service itakufaa...Habari za humu ndani wakuu, kuna kozi imeanzishwa chuo kikuu cha Mzumbe kwa ngazi ya Bachelor kozi tanjwa hapo juu.
Mimi ni Clinical Officer mwajiriwa wa serikali ninawaza kwenda kuisoma kozi hiyo mwaka wa masomo 2022/23 ila sijui upana wake na kana nikirudi recategorization yake kwa sasa ipo na ina uwanja upi wa fursa.
Nisaidieni hapo
Health secretary ina kozi yakeNadhani kwa ngazi ya halmashauri watakubeba tu kama health secretary
Ila wizarani utaenda kwenye unity ya monitoring n evaluation
Kuna mtu wa BLGM-Mzumbe ni health secretary pahalaHealth secretary ina kozi yake
Hii course imeanzishwa lini?Habari za humu ndani wakuu, kuna kozi imeanzishwa chuo kikuu cha Mzumbe kwa ngazi ya Bachelor kozi tanjwa hapo juu.