habari zenu wanajamvi,
Kama title inavyosema hapo juu. Nimemaliza form 4 mwaka jana na kupata division 3 jijini kampala na sasa nimejiunga na A level.
Sasa kiu yangu ni kusomea elimu yangu ya chuo kikuu nchini Tanzania, kwaiyo ningependa kufahamishwa kuhusu kozi ya tourism particularly tour guiding kuanzia kwenye core subjects mpaka upatikanaji wake wa ajira.
Nawasilisha