Naomba Ufafanuzi kuhusu Kuagiza Bidhaa Mtandaoni

BLACK_WIDOW

Senior Member
Joined
Nov 17, 2018
Posts
149
Reaction score
382
Asalaam Aleykum wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale, shida yangu ni kuhusu hizi online market Alibaba na Amazon,

Naomba kwa wanaofahamu wanipe ABCD's kuhusu uaminifu wao, na kama kuna scammers nawatokaje.

Nina hitaji kununua gemstone, niliingia Alibaba nimeona kuna masonara wa Pakistan wanadai wanacho ninachokitaka, nikaona nizungumze na wakubwa kabla ya ku-move on

Naomba msaada wenu wakuu
 
Mcheki jamaa anaitwa mwl rct yupo jukwaa la tech
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…