Safari ndefu, Unajaziwa halafu unaambiwa yaende yarudi bila kujali mizunguko mingineKwanini uweke mafuta mpka utikisegari? Unakoenda hamna vituo vya mafuta!?
Lori utatikisa pia?Safari ndefu, Unajaziwa halafu unaambiwa yaende yarudi bila kujali mizunguko mingine
Niliwahi kushusha Tank Mbalizi pale sababu nilipita njia mbovu likatoboka kwa bahati mbaya, likasafishwa, zibwa na kurudishiwa ila ever since that day gauge reading haiko sawa! Sasa sijajua ni namna walivyorudishia hii pampu ilikaa tofauti ama la!View attachment 1740376
Mafuta jaza ujazaje haina madhara tikisa yaingiye utakavyo hata yajae na kufurika kwenye mdomo/ mlango, ile mashine /Gauge haitadhurika
muundo wa Tank kuna sehemu kwa juu umeinuka kuweka sehemu ya hewa
hivyo pump itavuta na kusukuma, yanayobaki huwa kuna mrija/pipe ya kurudisha km hayatatumika, hiyo picha ni gauge kwa baadhi ya gari za Toyota, boya likifika juu litakwambia ni F na hata ukiongeza lita 10 au kufurika zaidi ni ni F
View attachment 1740382
Itakuwa ilikaa tofauti kwani Fuelpump imeunganishwa kwenye gauge na boya ndani ya Tank, ukitaka kuifungua unaitoa kwa juu ya tank unatakiwa kuchunga sana kwani ukiigusa ile fimbo /rod ya boya itajasoma ndivyo sivyo, ukiishusha sana au kuikunja unaweza shangaa mafuta yameisha gari inazima. kwa hiyokm uliigusa un-adjust angalau kwa juu ili hata lita 10 taa iwake huko kujaa sio kubaya maana gari ndogo ni lita 35 mpaka 50 ni fullNiliwahi kushusha Tank Mbalizi pale sababu nilipita njia mbovu likatoboka kwa bahati mbaya, likasafishwa, zibwa na kurudishiwa ila ever since that day gauge reading haiko sawa! Sasa sijajua ni namna walivyorudishia hii pampu ilikaa tofauti ama la!
Walipotoa pump wameharibu sensor. Huna jinsi ni kubadili pump maana iko intergrated na hiyo fuel gauge sensor.Niliwahi kushusha Tank Mbalizi pale sababu nilipita njia mbovu likatoboka kwa bahati mbaya, likasafishwa, zibwa na kurudishiwa ila ever since that day gauge reading haiko sawa! Sasa sijajua ni namna walivyorudishia hii pampu ilikaa tofauti ama la!
Halafu ubaya yangu ni digital speedo so gauge ya mafuta inasoma kwa bars,Walipotoa pump wameharibu sensor. Huna jinsi ni kubadili pump maana iko intergrated na hiyo fuel gauge sensor.
Huu ujinga naufanya.Kujaza mafuta hadi utikise gari ni ujinga ,tu , na kuhusu kuharibu gauge ni uongo pia , katika rough road tanki linatikisika sana na gauge hazifi.
Jibu la kitaalam na limenishibisha. Ubarikiwe sana.View attachment 1740376
Mafuta jaza ujazaje haina madhara tikisa yaingiye utakavyo hata yajae na kufurika kwenye mdomo/ mlango, ile mashine /Gauge haitadhurika
muundo wa Tank kuna sehemu kwa juu umeinuka kuweka sehemu ya hewa
hivyo pump itavuta na kusukuma, yanayobaki huwa kuna mrija/pipe ya kurudisha km hayatatumika, hiyo picha ni gauge kwa baadhi ya gari za Toyota, boya likifika juu litakwambia ni F na hata ukiongeza lita 10 au kufurika zaidi ni ni F
View attachment 1740382
Ukiweka kidumu cha petrol ndani ya gari kunakuwa na harufu na inawezekana ukalewa au hujui petrol ni kilevi?Hukuwa na kidumu cha kuweka akiba?